• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Sudan asema Marekani ni mwenzi wa kimkakati wa kutatua changamoto

    (GMT+08:00) 2020-03-09 10:25:38

    Waziri mkuu wa Sudan Bw. Abdalla Hamdok amesema, Marekani ni mwenzi wa kimkakati anayeshirikiana na Sudan kutatua changamoto mbalimbali. Amesema hayo kwenye mkutano na msaidizi wa waziri wa fedha wa Marekani anayeshughulikia ufadhili wa ugaidi Bw. Marshall Billingslea. Wizara hiyo imesema kuiondoa Sudan kutoka kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi ni "suala la muda" tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako