• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wawili wauawa katika mlipuko uliotokea Algeria

    (GMT+08:00) 2020-03-09 10:26:00

    Askari wawili wameuawa katika mlipuko mkubwa uliotokea katika mkoa wa Chlef ulioko umbali wa kilomita 200 magharibi mwa Algiers. Wizara ya ulinzi ya Algeria imetoa taarifa ikisema, mlipuko huo ulitokea wakati jeshi hilo likifukua bomu lililotengenezwa kienyeji. Taarifa hiyo imesisitiza kuwa jeshi hilo litaendelea na juhudi kuwasaka wahalifu waliosalia na kuwaangamiza popote walipo kote nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako