• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Libya inayoungwa mkono na UM yakanusha uvumi kuhusu maambukizi ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-09 10:27:26

    Wizara ya afya ya serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imekanusha uvumi kwamba maambukizi ya COVID-19 yamegunduliwa nchini humo. Wizara hiyo imetoa taarifa ikisema, habari hizo zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na channeli za televisheni kuhusu kugunduliwa na kuthibitishwa kwa maambukizi ya COVID-19 nchini humo si za kweli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako