• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Azam FC yawafunga watatu miaka mitatu

    (GMT+08:00) 2020-03-09 16:15:11

    Uongozi wa Azam FC umesema sababu ya kuwaongezea mikataba ya miaka mitatu nyota wao watatu ni kuendeleza vipaji vyao na pia kutimiza maombi ya benchi la ufundi la timu hiyo. Walioongezewa mikataba ni mabeki Lusajo Mwaikenda na Oscar Masai, pamoja na mshambuliaji Andrew Simchimba. Nyota hao watakuwa na timu hiyo kwa miaka mitatu zaidi kila mmoja, hivyo kuwa katika dimba la Chamazi hadi mwaka 2023.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako