• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya misaada ya China yachangiwa dola za kimarekani bilioni 4.22 na jamii mbalimbali

    (GMT+08:00) 2020-03-09 19:24:20

    Naibu waziri wa mambo ya ndani wa China Bw. Zhan Chengfu amesema, mpaka sasa, mashirika ya misaada na msalaba mwekundu ya ngazi mbalimbali nchini humo yamepokea misaada wa fedha taslimu dola za kimarekani bilioni 4.22 na vitu milioni 522.

    Bw. Zhan amesema, uwezo wa uendeshaji wa mashirika hayo na usimamizi wa serikali kwa mashirika hayo unapaswa kuongezeka. Ikiwa mamlaka inayoshughulikia mambo hayo, wizara ya mambo ya ndani itatumia uzoefu kuongeza uwezo wa usimamizi wa mambo ya misaada katika kukabiliana na tukio kubwa la afya ya umma na maafa.

    Habari zinasema, wafanyakazi 50 wa mitaa waliosaidia kupambana na virusi vya korona wamefariki, na wizara hiyo imetoa salamu za rambirambi kwa wafiwa na imesisitiza kufanya vizuri kazi ya kuwaenzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako