• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Sudan anusurika katika jaribio la kumuua

    (GMT+08:00) 2020-03-09 19:32:13

    Waziri mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok amenusurika katika jaribio lililoshindwa la kumuua katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.

    Kituo cha taifa cha televisheni nchini humo hakikutoa taarifa zaidi kuhusu jaribio hilo. Hata hivyo, mashuhuda wa tukio hilo wamesema, msafara wa Hamdok ulishambuliwa kwa bomu lililotegwa kwenye gari katika mlango wa kuingilia kwenye kambi ya jeshi la nchi hiyo mjini Khartoum.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako