• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM alaani mauaji ya mfanyakazi wa kiraia wa Tume ya kulinda amani nchini CAR

    (GMT+08:00) 2020-03-10 08:47:01

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amelaani vikali mauaji ya mfanyakazi wa kiraia wa Tume ya kulinda amani ya Umoja huo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR.

    Bw. Guterres ametoa salamu za rambirambi kwa familia ya mhanga aliyeuawa Jumamosi mjini Ndele, na pia ametoa wito kwa mamlaka za Afrika ya Kati kufanya juhudi kuwatambua na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa mauaji hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako