• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco yakamata tani 1.5 za bangi

    (GMT+08:00) 2020-03-10 10:22:33

    Idara ya usalama ya Morocco imekamata tani 1.5 za bangi mjini Tangier, kaskazini mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi ya Morocco, bangi hiyo ilikuwa imehifadhiwa ndani ya boti moja ya uvuvi katika bandari ya mji huo. Taarifa hiyo pia imesema, bangi hiyo imekamatwa kufuatia upelelezi wa awali uliofanywa na polisi wa Tangier baada ya kukamata bangi ya kilo 135.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako