• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu zaidi ya 43 wauawa katika mashambulizi yaliyotokea kaskazini mwa Burkina Faso

    (GMT+08:00) 2020-03-10 10:23:07

    Watu zaidi ya 43 wameuawa katika mashambulizi yaliyotokea kaskazini mwa Burkina Faso. Taarifa iliyotolewa na serikali ya nchi hiyo imesema watu wasiojulikana walifanya shambulizi jumapili iliyopita dhidi ya vijiji viwili katika kanda ya kaskazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako