• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Wiyeta Girls yaifunga Bomet Queens 17-0

    (GMT+08:00) 2020-03-10 16:35:43

    Timu ya wavulana ya Kapenguria Heroes ilijiweka pazuri kushinda kwa mara ya pili taji la Chapa Dimba na Safaricom katika Mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya msimu huu. Kikosi hicho kilishinda White Rhino ya Transmara mabao 2-1 kwenye nusu fainali ya kipute hicho cha Chapa Dimba na Safaricom Season Three uwanjani Green Stadium, mjini Kericho. Kwa wasichana, Wiyeta Girls kutoka Pokot Magharibi ilizima wenzao Bomet Queens ilipowabebesha kapu la magoli 17-0 huku Itigo Girls kutoka Nandi ikichoma Achievers ya Kajiado mabao 6-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako