• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Serikali ya Guinea yawalilia wachezaji wa mpira waliofariki katika ajali ya barabarani

    (GMT+08:00) 2020-03-10 16:36:03

    Serikali ya Guinea imetangaza maombolezo ya kitaifa baada ya wachezaji wa mpira wa miguu kufariki dunia katika ajali ya barabarani. Timu ya soka ya Étoile de Guinée, ilikuwa njiani kushirikia mchezo wa daraja la pili wakati ajali ilitokea Alhamisi Machi 5. Mazishi ya wachezaji 8 waliofariki pamoja na daktari wa timu na dereva wa basi walilokuwa wakisafiria yamefanyika jana Jumatatu, baada ya swala katika msikiti mkubwa wa Fayçal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako