• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNHCR kuunga mkono kuwarudisha makwao kwa hiari wakimbizi wa Sudan Kusini kutoka Uganda

    (GMT+08:00) 2020-03-11 10:32:39

    Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa nchini Uganda Bi Duniya Aslam Khan, amesema shirika hilo litaunga mkono kuwarudisha makwao wakimbizi wa Sudan Kusini kutoka nchini Uganda kwa hiari yao, kama masharti yakiwezekana kufuatia kuundwa kwa serikali ya mpito ya Sudan Kusini. Amesema shirika hilo litazisaidia Uganda na Sudan Kusini kuwarejesha wakimbizi zaidi ya laki 8 kama mazingira yakikubalika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako