• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tunisia yasema watu 268 waliorudi kutoka Italia wamewekwa kwenye karantini

    (GMT+08:00) 2020-03-11 10:32:56

    Wizara ya afya ya Tunisia imesema abiria 268 waliorudi kutoka Italia kwa meli wamewekwa kwenye karantini. Mkurugenzi mkuu wa idara ya usimamizi wa maradhi mapya na ya dharura ya wizara hiyo Bw. Nissaf Ben Alaya amesema, app ya kielektroniki imezinduliwa kumruhusu kila mtu anayewasili kusimamia hali yake ya afya. Ofisa huyo ameonya kuwa watu wasiofuata maagizo ya wizara ya afya wataadhibiwa kwa kifungo kisichozidi miezi sita na faini za dola 535 za kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako