• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • JOGGING: Meya wa Ilala apongeza vikundi vya jogging

    (GMT+08:00) 2020-03-11 16:41:50

    Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam, nchini Tanzania Omary Kumbilamoto, amevipongeza vikundi vya Jogging kata ya Vingunguti kwa namna wanavyojitoa katika kushirikiana na jamii ili kutatua kero zinazoikabili kata hiyo. Meya Kumbilamoto amesema hayo wakati akikabidhi msaada wa mahitaji muhimu kwa kituo cha watoto yatima Mwana kilichopo Vingunguti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako