• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BASKETBALL: Polisi yaifunga Nyuki Ligi ya Kikapu

    (GMT+08:00) 2020-03-11 16:53:29

    Timu ya mpira wa kikapu ya Polisi nchini Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Kikapu baada ya kuifunga Nyuki vikapu 65 – 47 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mao Zedong visiwani Zanzibar. Mpaka wakati wa mapumziko, Polisi walikuwa wakiongoza kwa vikapu 32 – 17, na mpaka mchezo unamalizika, Polisi waliibuka videdea kwa kuwa na vikapu 65 – 47.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako