• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo kikubwa cha matibabu ya saratani kujengwa Kisumu

    (GMT+08:00) 2020-03-11 20:07:08

    Serikali ya Kaunti ya Kisumu nchini Kenya imeanza mipango ya kujenga kituo kikubwa cha matibabau ya saratani kwa gharama ya shilingi bilioni 1.3. Tayari harakati za kumtafuta mkandarasi zimeanza ambapo serikali hiyo imchapisha tenda hiyo kwenye magazeti ya kila siku nchini Kenya. Mkurugenzi wa mawasiliano katika kaunti ya Kisumu Aloice Ager amesema wazo la ujenzi huo lilifikiwa mwaka jana na jiwe la msingi linatarajiwa kuwekwa ndani ya mwezi mmoja.Hii ni baada ya serikali ya kaunti kumpata mkandarasi. Ager amesema ujenzi utagharimu shilingi milioni 300 huku vifaa vya matibab u vikigharimu shilingi bilioni 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako