• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yachukua hatua za kukabiliana na athari mbaya za COVID-19 kwa biashara na uwekezaji wa kigeni

    (GMT+08:00) 2020-03-11 21:12:39

    China imechukua hatua mpya za kukabiliana na athari mbaya zinazotokana na COVID-19 dhidi ya biashara na uwekezaji wa kigeni.

    Mkutano wa baraza la serikali la China uliofanyika jana ukiongozwa na waziri mkuu Li Keqiang pia umepanga kufanya minyororo ya uzalishaji viwandani na mitaji irudi kwenye hali ya kawaida, na pia kuhamasisha sekta mbalimbali zitoe uratibu kwa kurejeshwa kwa shughuli za uzalishaji. Mkutano huo umesisitiza kutumiwa vizuri kwa sera za mikopo maalum na kuunga mkono juhudi za kupambana na COVID-19 na kuzisaidia kampuni kujikwamua na taabu zinazotokana na ugonjwa huo.

    Mkutano huo umeongeza kuwa China inatakiwa kufungua mlango zaidi kwa nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako