• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan yapiga marufuku safari za ndege za moja kwa moja za UNAMID kutoka Misri hadi Darfur

    (GMT+08:00) 2020-03-12 10:18:48

    Mamlaka ya usafiri wa anga Sudan imepiga marufuku safari za ndege za moja kwa moja za Tume ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika huko Darfur UNAMID kutoka Misri hadi viwanja vitatu vya ndege huko Darfur. Msemaji wa Mamlaka hiyo amesema, marufuku hiyo itadumu hadi mwezi wa Aprili, na kuongeza kuwa marufuku hiyo inaweza kurefushwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako