• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa China ahimiza pande za Yemen kusimamisha vita haraka iwezekanavyo na kuanzisha tena mazungumzo

    (GMT+08:00) 2020-03-13 10:06:50

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Balozi Zhang Jun amezihimiza pande mbalimbali za Yemen kusimamisha vita haraka iwezekanavyo na kuanzisha tena mazungumzo ya kisiasa. Amesema hivi karibuni operesheni za kijeshi zimepamba moto katika baadhi ya sehemu nchini humo, na kuathiri upatanishi na juhudi za Umoja wa Mataifa na mazungumzo ya kisiasa kati ya pande mbalimbali. Amesema pande husika zinatakiwa kushikilia nia ya kisiasa na kufikia makubaliano ya kusimamisha vita na kujenga mazingira kwa ajili ya mazungumzo ya kisiasa ya pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako