• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuna uwezekano virusi vya korona kuanzia nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2020-03-13 17:48:57
    Baada ya mkurugenzi wa Marekani CDC Robert Redfield kukiri kuwa nchini Marekani baadhi ya watu waliodhaniwa kufariki kwa mafua wamethibitishwa kufariki kutokana na virusi vya korona walipopimwa baada ya kufa, jana jioni msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Zhao Lijian kwenye ukurasa wake wa Twitter aliandika, "Marekani CDC ilikamatwa papo hapo. Je, mgonjwa wa kwanza wa virusi vya korona alitokea lini Marekani? Wangapi walishaambukizwa? Ni hospitali ipi? Pengine ni wanajeshi wa Marekani walileta virusi mjini Wuhan. Tunataka uwazi. Tunataka takwimu zitolewe bila kuficha. Tunadai ufafanuzi kutoka kwa Marekani."

    Zaidi ya hayo, Zhao aliendelea kuuliza "Katika msimu huu wa mafua nchini Marekani, kati ya wagonjwa milioni 34 wa mafua, elfu 20 walifariki dunia. Je, kuna wagonjwa wangapi waliambukizwa virusi vya korona?"

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako