• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yathibitisha kesi ya kwanza ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-13 20:11:21

    Wizara ya Afya nchini Ethiopia leo imethibitisha kesi ya kwanza ya virusi vya korona (COVID-19). Ripoti hiyo imetolewa mjini Addis Ababa, baada ya vipimo vilivyochukuliwa kutoka kwa raia mmoja wa Japan kuonyesha amepata maambukizi ya virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako