• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kutoa makala muhimu kuhusu vita dhidi ya COVID-19 kwenye Jarida la Qiushi

    (GMT+08:00) 2020-03-15 19:20:16

    Rais Xi Jinping wa China atatoa makala muhimu ya "kutoa uungaji mkono wa teknolojia zenye nguvu ili kushinda vita dhidi ya maambukizi ya ugonjwa" kwenye Jarida la Qiushi la China litakalochapishwa kesho.

    Kwenye makala hiyo rais Xi atasisitiza kuwa silaha yenye nguvu zaidi ya binadamu kupambana na magonjwa ni teknolojia za kisayansi. Ameagiza kupunguza kiwango cha vifo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa nimonia inayosababishwa na virusi vipya vya Korona COVID-19 kupitia utafiti wa dawa na vifaa ya matibabu, kuharakisha mchakato wa utafiti wa chanjo, na kufahamu chanzo cha virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako