• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri na Sudan zafanya mazungumzo kuhusu bwawa la GERD la Ethiopia

    (GMT+08:00) 2020-03-16 09:37:48

    Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri jana alifanya mazungumzo na naibu mwenyekiti wa Baraza la utawala la Sudan Bw. Mohamed Hamdan Dagalo kuhusu Bwawa la GERD la Ethiopia lililojengwa kwenye mto Nile. Msemaji wa rais wa Misri Bw. Bassam Rady amesema, mkutano huo ulijadili maendeleo ya suala la GERD kufuatia makubaliano yaliyofikiwa kwenye mazungumzo ya pande tatu huko Washington lakini yalisainiwa na upande mmoja wa Misri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako