• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mlipuko wa bomba la mafuta wasababisha vifo vya watu 15 Nigeria

    (GMT+08:00) 2020-03-16 09:38:06

    Mlipuko wa bomba la kusafirisha mafuta na gesi uliotokea jana kwenye eneo la Abule Ado, huko Lagos, Nigeria, umesababisha vifo vya watu 15. Mbali na hayo zaidi ya majengo 50 yameharibiwa zikiwemo shule moja na hoteli moja. Hivi sasa kazi ya uokoaji na uchunguzi kuhusu chanzo cha ajali hiyo unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako