• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 15 wafariki kwa ajali ya moto baada ya bomba la mafuta na gesi kulipuka nchini Nigeria

    (GMT+08:00) 2020-03-16 16:58:40

    Watu 15 wamefariki baada ya bomba la mafuta na gesi kulipuka jana asubuhi mjini Lagos, Nigeria.

    Habari kutoka idara ya usimamizi wa mambo ya dharura ya Nigeria zimesema, mlipuko huo uliotokea saa tatu asubuhi kwa saa za huko, pia ulisababisha kuharibika kwa majengo zaidi 50.

    Hivi sasa moto huo ulidhibitiwa na kazi za uokoaji inaendelea, na uchunguzi unaendelea ili kujua chanzo cha mlipuko huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako