• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Shirika la ndege la Emirates lasitisha baadhi ya safari za Uganda.

    (GMT+08:00) 2020-03-16 18:43:39
    Shirika la Ndege la Emirates limesitisha baadhi ya safari zake za ndege kutoka Dubai kwenda uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe kutokana na sababu za kikazi.

    Shirika hilo limesema kwamba ni safari za Jumatatu na Jumatano pekee ambazo zimesitishwa kuanzia Machi 18 hadi Aprili 29 mwaka huu.

    Huku Uganda Uganda ikiwa haijaripoti kisa chochote cha uwepo wa virusi vya Corona, Dubai imeathiriwa.

    Hatua hii huenda ikaathiri Uganda kwa sababu Waganda wengi wanafanya kazi Dubai. Kando na hilo, Uganda pia hununua baadhi ya bidhaa zake kutoka Dubai, na hatua hii itakuw na athari fulani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako