• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uuzaji wa dhabu waongezeka mara dufu

    (GMT+08:00) 2020-03-16 18:44:06
    Uuzaji wa dhahabu nje ya Uganda uliongezeka mara dufu kati ya Januari 2018 na Januari 2019. Hii ni kulingana na ripoti ya Benki kuu ya Uganda.

    Data ya Benki kuu inaonyesha kwamba Uganda ilipata jumla ya dola bilioni 1.362 kutoka kwa mauzo ya dhahabu kwa muda huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako