• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuwarudisha kwa utaratibu wafanyakazi wa afya wanaounga mkono mkoa wa Hubei

    (GMT+08:00) 2020-03-17 09:42:20

    Kikundi cha uongozi wa mwitikio dhidi ya virusi vya korona nchini China, kimeamua kuwarudisha kwa utaratibu wafanyakazi wa afya waliokwenda mkoani Hubei kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi hivyo.

    Kikundi hicho kinachoongozwa na waziri mkuu Li Keqiang, kimeagiza kuwapa wagonjwa mahututi matibabu ya kiwango cha juu na kuusaidia mkoa wa Hubei kurejesha huduma za matibabu kwenye utaratibu wa kawaida wakati timu za matibabu kutoka mikoa mingine zinaondoka.

    Kwa mujibu wa Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China, mpaka Jumapili wagonjwa 67,749 miongoni mwa watu 80,860 waliothibitishwa kuambukizwa COVID-19 nchini China wamepona na kutoka hospitali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako