• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa serikali ya mpito ya Sudan Kusini waapishwa

    (GMT+08:00) 2020-03-17 09:44:31

    Mawaziri wa serikali ya mpito ya Sudan wameapitishwa jana na kuanza kazi rasmi. Sherehe ya kuapishwa kwa mawaziri 33 na manaibu waziri tisa iliendeshwa na naibu jaji mkuu Bw. John Gatwech Lul, na kushuhudiwa na rais Salva Kiir, pamoja na makamu wa kwanza wa rais Bw. Riek Machar na makamu wengine wanne wa rais .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako