• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Somalia lakomboa mji muhimu kutoka kwa wapiganaji wa kundi la al-Shabab

    (GMT+08:00) 2020-03-17 09:44:56

    Jeshi la Somalia SNA likiungwa mkono na Tume ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika limeukomboa mji wa Janale ulioko kwenye eneo la Lower Shabelle, kusini mwa Somalia. Kamanda wa jeshi hilo Abdihamid Mohamed Dirir amesema operesheni ya usalama kama hiyo itaendelea, na kwamba mji huo uko katika sehemu ya kimkakati na ameahidi kukomboa maeneo yote yanayodhibitiwa na wapiganaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako