• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la awamu ya 23 la Israel laapishwa

    (GMT+08:00) 2020-03-17 09:45:47

    Bunge la awamu ya 23 la Israel limeapishwa katika hafla ambayo wabunge waliapishwa kwa vikundi vya watu watatu watatu, ili kuendana na matakwa ya Israel kuhusu ukubwa wa mikutano wakati wa kukabiliana na maambukizi ya virusi vya korona. Rais Reuven Rivlin wa Israel amesema kwenye hafla hiyo kuwa, hivi sasa msukosuko wa kisiasa nchini Israel ni "wa kweli", na ametoa wito kwa vyama mbalimbali vya bunge kufikia maafikiano ili kuunda serikali mpya haraka iwezekanavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako