• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Putin wa Russia asema Russia haiathiriwi na vikwazo vya nchi za magharibi

    (GMT+08:00) 2020-03-17 09:46:11

    Rais Vladimir Putin wa Russia alipofanyiwa mahojiano na shirika la habari la nchi hiyo Tass amesema, Russia imepunguza hasara ilizopata ya dola za kimarekani bilioni 50 zinazosababishwa na vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi tokea mwaka 2014. Amesema nchi za magharibi haswa watu wa Ulaya wamepata hasara kubwa kama hiyo, na kwamba wamekuwa wanapoteza ajira, wakati Russia sasa imeweka rekodi mpya ya kiwango cha chini cha ukosefu wa ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako