• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OLIMPIKI: IOC yasema, hakuna muda wa mwisho wa kutoa maamuzi kuhusu michezo ya Olimpiki

    (GMT+08:00) 2020-03-17 16:11:54

    Kamati ya Olimpiki ya Tokyo iliyo chini ya Shirikisho la Kimataifa la Olimpiki (IOC) imesisitiza kuwa hakuna muda wa mwisho wa kufuta mashindan hayo, na kwamba yatafanyika kama ilivyopangwa awali. Mwenyekiti wa Tume ya Uratibu ya Tokyo John Coates amesema hayo akiwa nchini Australia, ambako amewekwa kwenye karantini ya lazima ya siku 14 kabla ya kurejea Switzerland. Coates amesema hayo kupinga kauli iliyotolewa na mjumbe wa ngazi ya juu wa IOC Dick Pound aliyependekeza mwezu uliopita kuwa, uamuzi wa mwisho kuhusu kama mashindano hayo yatafanyika utatolewa mwishoni mwa mwezi Mei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako