Fedha kutoka nchi za nje ilifikia sh bilioni 280 mwaka jana.
Hivi majuzi fedha kutoka nje imekuwa mchangio mkubwa kwa akiba ya fedha za kigeni, ambayo Benki Kuu ya Kenya (CBK) hutumia kuleta utulivu wa sarafu.
Pamoja na kuongezeka kwa kutokuwa na uhakika katika masoko ya kimataifa, CBK imeonyesha kwamba ilikuwa ikitaka kununua Sh bilioni 40.5 kutoka kwa benki katika miezi nne ijayo ili kuongeza akiba ya dola zake ambazo zilikuwa Sh bilioni 8.4 Machi 13.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |