• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais John Magufuli Anawataka watanzania Kuzaa watoto Zaidi Kupiga jeki  Uchumi wa Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-03-17 19:18:28

    Rais John Magufuli Anataka watanzania Kuzaa watoto Zaidi Kupiga jeki Uchumi wa Tanzania.

    Rais John Magufuli alielezea msimamo wake juu ya dawa za kuzuia kupata uja uzito, amesema idadi kubwa ya watu ilikuwa na faida kwa uchumi.

    Anaendelea kuzema Unapokuwa na idadi kubwa ya watu, unaijenga uchumi. Ndio maana uchumi wa China ni mkubwa. Barani Afrika, Nigeria ina idadi kubwa zaidi ya watu. Inayo watu wapatao milioni 202 na inafaidika na gawio la idadi ya watu. Watu hufanya kazi zote za uzalishaji na wanahakikisha soko nzuri kwa bidhaa na huduma zinazozalishwa.

    Kufikia sasa, Tanzania ina watu milioni 59.7 na iko katika nafasi 24 duniani, kulingana na yeye.

    Tanzania inashika nafasi ya nne barani Afrika kwa suala la idadi ya watu baada ya Nigeria, Ethiopia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako