• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanadiplomasia wa Uingereza amekuwa mgonjwa wa sita aliyethibitishwa kuambukizwa COVID-19 nchini Ethiopia

    (GMT+08:00) 2020-03-18 09:10:15

    Wizara ya afya ya Ethiopia imesema, mwanadiplomasia wa Uingereza amekuwa mgonjwa wa sita aliyethibitishwa kuambukizwa COVID-19 nchini Ethiopia.

    Wizara hiyo imetoa taarifa ikisema, mwanadiplomasia mwanaume mwenye umri wa miaka 59 kutoka Uingereza, amekuwa mgonjwa wa sita wa COVID-19 nchini humo.

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwanadiplomasia huyo aliyerudi hivi karibuni kutoka Dubai amewekwa kwenye karantini jumatatu wiki hii baada ya kuonesha dalili za COVID-19. Alithibitishwa kuambukizwa baada ya kufanyiwa upimaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako