• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 nchini Ufaransa yaongezeka hadi 7,703

    (GMT+08:00) 2020-03-18 09:11:58

    Mkurugenzi mkuu wa afya wa Ufaransa Bw. Jerome Salomon ametangaza kuwa nchi hiyo imegundua wagonjwa 7,703 wa COVID-19 na 175 kati yao wamefariki kutokana na virusi hivyo. Katika saa 24 zilizopita, watu 1,097 wametambuliwa kuambukizwa na COVID-19, huku wengine 27 wametangazwa kufariki kutokana na ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako