• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yatoa tahadhari juu ya mvua kubwa katika mikoa 9

    (GMT+08:00) 2020-03-18 10:12:09

    Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania TMA imetoa tahadhari juu ya mvua kubwa zitakazonyesha katika mikoa tisa ikiwemo Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Morogoro, Ruvuma, Mtwara na Lindi nchini humo. Mamlaka hiyo pia imesema mvua zinatarajiwa kuvunja miundo mbinu na mali katika baadhi ya sehemu, na kwamba nyumba na mashamba kadhaa yanaweza kusombwa na mafuriko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako