• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Yanga yachukua tahadhari dhidi ya korona, yapiga stop mashabiki mazoezini

    (GMT+08:00) 2020-03-18 16:18:14

    Uongozi wa Yanga umeanza kuchukua hatua za tahadhari ya kujikinga na virusi vya korona kwa wachezaji pamoja na mashabiki. Afisa habari wa klabu hiyo, Hassan Bumbuli amesema wameanza kuchukua tahadhari katika mazoezi yao yanayofanyika katika Chuo cha Sheria jijini Dar es Salaam kwa kudanya mazoezi bila ya kuwepo kwa mashabiki. Licha ya hatua hiyo, bado timu hiyo inaendelea kuchukua tahadhari na ushauri unaotolewa na madaktari juu ya virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako