• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Dawa za kuongeza nguvu zamweka pabaya Fury

    (GMT+08:00) 2020-03-18 16:18:40

    Chama cha Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kusisimua Misuli Uingereza (UKAD) kinatarajiwa kufanyia uchunguzi taarifa ya mkulima mmoja anayedai kuwa aliambiwa atoe ushahisi wa uongo kwenye kesi ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu iliyokuwa ikimkabili bondia Tyson Fury. February 2015, Fury na binamu yake Hughie waligundulika kutumia dawa zilizopigwa marufuku michezoni, lakini walijitetea kwa kudai kuwa kitendo cha kula nguruwe pori aliyehasiwa ndio kilisababisha hali hiyo. Mkulima huyo amedai kuwa alitakiwa kulipwa pound 25,000 ili kusema kuwa ni kweli yeye ndiye alimuuzia Fury na timu yake mnyama huyo, lakini hakulipwa pesa hizo alizoahidiwa. Promota wa Fury amekanusha madai hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako