• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Airtel yaondoa ada za huduma za kutuma pesa

    (GMT+08:00) 2020-03-18 19:04:59
    Kampuni ya mawasiliano nchini Kenya ya imeondoa ada ya manunuzi zote kwenye huduma ya kutuma na kupokea pesa.

    Airtel imetangaza kuwa kuanzia Jumanne, huduma ya kutuma pesa itafanyika bila malipo kwa siku 90 huku nchini hiyo ikipambana na virusi vya korona.

    Aidha kampuni nyingine ya Safaricon imeondoa ad azote kwa uhamishaji wa fedha usiozidi dola 10, sawa na shilingi 1000 za Kenya.

    Kampuni ya Airtel pia imeongeza kiwango cha fedha ambacho wateja wanaweza kuweka kwenye laini zao kutoka dola 700 hado dola 1,500 kwa siku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako