• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi aongoza mkutano kuhusu udhibiti wa mlipuko wa COVID-19 na maendeleo ya uchumi

    (GMT+08:00) 2020-03-18 19:50:28

    Rais Xi Jinping wa China ameongoza mkutano wa kutathmini kazi ya kudhibiti na kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19 na maendeleo ya uchumi ndani na nje ya nchi.

    Mkutano huo pia umefanya mpangilio wa kazi kubwa za kuratibu kazi ya kuzuia na kudhibiti mlipuko kwa maendeleo ya uchumi na jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako