• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 nje ya China yafikia 110,011

    (GMT+08:00) 2020-03-19 08:46:46

    Takwimu zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani WHO zinaonyesha kuwa, idadi ya wagonjwa wa COVID-19 nje ya China imefikia 110,011. Takwimu zinaonyesha kuwa, hadi kufikia tarehe 8, idadi ya wagonjwa wa COVID-19 ilikuwa imeongezeka kwa watu 15,123 kote duniani, na kufikia 191,127 kwa ujumla.

    Mjumbe wa WHO nchini China Bw. Gauden Galea hivi karibuni amesema, China imechukua hatua madhubuti za kinga na udhibiti, na kufanikiwa kuzuia kuenea kwa maambukizi nchini, na hivyo kuokoa muda kwa dunia nzima kupambana na virusi vya korona. Hatua za China zimeonyesha kuwa mwelekeo wa maambukizi ya virusi unaweza kubadilishwa, na uzoefu wa China unastahili kuigwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako