• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya maambukizi ya COVID-19 nchini Marekani yazidi 7,000

    (GMT+08:00) 2020-03-19 08:55:21

    Kituo cha Sayansi na Uhandisi wa Mifumo (CSSE) kwenye Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani, kimesema hadi kufikia jana idadi ya maambukizi ya COVID-19 nchini Marekani imefikia 7,324, na watu 115 wamefariki kutokana na ugonjwa huo.

    Habari zimesema rais Donald Trump wa Marekani amesema, anataka kutumia Sheria ya Uzalishaji wa Ulinzi ili kupambana na mlipuko wa COVID-19, hatua ambayo itairuhusu serikali ya Marekani ilazimishe viwanda nchini humo kuongeza uzalishaji wa vifaa vya matibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako