• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Premier League yaja na mkakati wa kukamilisha mechi

    (GMT+08:00) 2020-03-19 08:57:06

    Ligi kuu nchini England maarufu kama Premier League imekuja na mpango mkakati katika kuhakikisha msimu unamalizika bila kusimamishwa. Kutokana na kuibuka kwa janga la ugonjwa wa Corona ligi nyingi duniani zimesimama ili kuepuka kuenea zaidi kwa virusi hivyo hali iliyofanya Premier League kuja na mpango wa kuhakikisha jumla ya mechi zake 92 zilizo salia zinachezwa, hivyo wapo tayari michezo hiyo kupigwa bila mashabiki na badala yake kurushwa mubashara kupitia televisheni. Kwa mujibu wa taarifa huwenda michezo hiyo ikapigwa kwenye viwanja viwili au vitatu ambavyo vitakuwa havina mashabiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako