• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza akanusha kurefusha kipindi cha mpito cha Brexit

    (GMT+08:00) 2020-03-19 10:02:46

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson amesema, nchi hiyo haitarefusha kipindi cha mpito cha kujitoa Umoja wa Ulaya kitakachomaliza mwishoni mwaka huu. Amesema hayo wakati akijibu maswali katika baraza la chini la bunge la nchi hiyo, huku akiongeza kuwa hivi sasa kazi ya kwanza ya nchi hiyo ni kukabiliana na maambukizi ya COVID-19, na kipindi cha mpito cha kujitoa Umoja wa Ulaya kimethibitishwa na kamati ya utungaji sheria ya bunge kuishia Desemba 31.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako