• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNICEF yasisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto wakati wa kukabiliana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-19 10:03:08

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF Henrietta Fore amesisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto wakati wa kukabiliana na COVID-19. Bibi Fore ametoa taarifa ikisema, kazi ya kuokoa maisha inayolenga kutoa afya, elimu, lishe na ulinzi kwa watoto imekuwa muhimu zaidi. Kufuatia mamilioni ya watoto kupoteza makazi na kuathiriwa na vita, kufariki kutokana na vyanzo vinavyozuilika, kukosa shule au kukosa chanjo za lazima, mahitaji ya uungaji mkono yamekuwa makubwa zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako