• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi 30 za Afrika zaripoti maambukizi 443 ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-19 10:19:22

    Kituo cha kinga na udhibiti wa ugonjwa cha Afrika kimesema visa 443 vya maambukizi ya COVID-19 pamoja na vifo 10 vinavyotokana na ugonjwa huo, vimeripotiwa katika nchi 30 za Afrika. Nchi za Afrika zimepongeza juhudi za China na hatua zilizochukuliwa nayo katika kuzuia maambukizi ya COVID-19, na kuonyesha hamasa ya kuiga uzoefu wa China.

    China pamoja na nchi 24 za Afrika na kituo cha kinga na udhibiti wa ugonjwa cha Afrika jana zilifanya mkutano kwa njia ya video, ambapo China ilikumbusha ahadi yake ya kutoa uzoefu na uungaji mkono kwa Afrika katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako