• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Euro yaahirishwa hadi 2021 kukakibiliana na virusi vya corona

    (GMT+08:00) 2020-03-19 16:15:07

    Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) sasa limekiri kuahirisha mashindano ya Euro 2020 hadi mwaka ujao ili kuwa na muda wa kutosha kwa Ligi ya Premier na mashindano mengine ya barani Ulaya kumalizika baada ya kutokea kwa janga la Corona. Virusi vya Corona vimeendelea kuzua hofu, kiasi cha kuwaacha wanamichezo katika nyakati zisizo za kawaida, na kusababisha michezo mingi kufutwa nchini Uingereza na nchi nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako