• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ubingwa Liverpool njiapanda England

    (GMT+08:00) 2020-03-19 16:15:29

    Huenda Liverpool haitapewa ubingwa wa Ligi Kuu England ikiwa tatizo la virusi vya korona litalazimisha msimu kumalizika kabla ya mechi zote kutimia kama ilivyothibitishwa na Rais wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) Aleksander Caferin. Virusi hivyo vimesababisha kusimamishwa kwa muda kwa Ligi hiyo hadi April 5, huku Liverpool ikiwa inaongoza kwa tofauti ya point 25, lakini wataalam wanaamini kuwa hali itakuwa mbaya zaidi katika siku za usoni, jambo linaloleta wasiwasi kama msimu huu unaweza kumalizika au la.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako